MUME WANGU : 11

Mwandishi : Ascar Mnyenyelwa

#Tunaendelea

Basi waiter akanifikisha mpaka pale nilimshangaa Sana kimario nkamuuliza ndo nini kukodi mpk chumba kwani wewe huna kwako akasema mgongo unamuuma ameona aje apumzike , nkamwambia Aya bana Mimi narudi kwa dada ili nijue Hali ya mama , kimario akasema kwani mama atakua amezidiwa si umemuacha akiwa poa tuu istoshe mpk matumiz ya kesho nlikupa , basi kwa hasira ikabidi nimseme kimario nkamwambia inamaana ulifanya makusudi ili upate muda wa kunichezea ama , kimario akasema mbona unaenda direct hivyo Kwan mm nmekwambia chochote inamaana kukuomba uniletee simu ndo nmekuomba penzi ?

Basi yakanishuka nkamwambia Aya bana Mimi acha niende bas , akasema kwaiyo unaniacha mama sawa!!!! Nkamwambia niitie bas yule dereva wa tax maana huku kupo ndan ndan sielewi napanda boda boda au nafanyaje , akasema Sasa tax ntaiita mda huu huu na ije mda huu huu kaa hapo kitandani niite tax then itakuja , bas nkakaa kwa hasira huku nikiwa nachezea simu. Kimario akaanza kunicheka na kunambia Sasa hasira za Nini mama nkamwambia nachelewa akasema nmemtumia sms dreva tax Sina salio la kupiga , nkamwambia Aya ngoja na mm ninunue M pesa unipe namba nimpigie , kimario akaguna "mmmmh" Tukacheka kwa pamoja. 

Sikukaa Sana simu ikaita dada anapiga akanambia vipi uko wapi nkamwambia bado nipo huku , akasema Sasa jitahidi uwasiliane na baba yusuph Kama ataweza kutupa pesa kidogo maana kesho kutwa inabid tukamchukulie mama dawa zake maana tangu alivyotumia zile zilimsaidia inabidi tumuongezee Sasa Kama unavyojua garama ya zile dawa na Mimi Saivi pesa nyingi imeisha mdogo wangu fanya uongee na baba yusuph , nkamwambia sawa dada , dada akasema tupambane mdogo wangu afya ya mama yetu ikae sawa nkamwambia sawa dada.

Basi ikabid nimwambie kimario kuwa nataka kuongea na mume wangu maana ilibidi nimpe taarifa mapema mume wangu ili anifanyie mpango wa kutuma pesa kwa mama , kimario akakunja sura akasema Amina unadharau Sana unajua kabisa nakupenda na mm na ww tulikua wachumba na hatukuachana bas tuu ulitaftiwa mume lkn unanitesa unataka kuongea na mumeo Aya bana, nkamwambia nsamehe lkn Sina jinsi naangalia afya ya mama , kimario akasema Kwan inahitajika Bei gan nkamwambia laki tatu na ushenz akasema kwaiyo na mm siruhusiwi kuchanga Kama rafiki yako, nkamwambia  wewe ni iyari lkn baba yusuph ni wajibu wake. 

Basi ikabidi niwashe data nimpigie baba yusuph nlipiga call ya kawaida ya watsap sio video call na nlifanya makusudi ili nijizungushe Kaka wa tax aje niondoke zangu kwaiyo nkaona Bora nimkatishe nyege huyu kiumbe😁 nkapiga kweli mume akapokea akasema kwann sijapiga video call nkamwambia huku mtandao unasumbua nkamdanganya kuwa nlipiga video call lkn hakupokea akasema poel Sana labda kwakua nipo nje kidogo ya nchi nkamwambia sawa , ikabid niombe anitumie pesa ya dawa za mama, baba yusuph akasema juzi juzi tuu katoka kutoa laki, Leo Tena inahitajika pesa nyingine kumbuka tuna familia watoto inabidi ada, pesa zote ntatoa wapi? Kwani ndugu mliopo n wewe tuu na dada yako kwann msijichange 🙄 looooh nliishiwa poz kauli za baba Yusuph 

#tutaendelea

 

No comments

Powered by Blogger.