❤️❤️SALMA WANGU❤️❤️ :01
Mtunzi:::malkia Osam
Wasp 0710066699
ANZA NAYO
Ni Jumapili Siku Tulivu sana Majira ya Sakumi na Mbili Jioni kijana Sky Akiwa Jiani Kuelekea Nyumbn kwa mpenz wake
Sky hakumwambia Mpenz Wake kama Anaenda Jioni ile Alitaka iwe Surprise Baada Ya Kufika Maeneo ya Tabata Alipak gari mbalii Kidogo Kisha akatembea Uku akitabasam Kabla Hata Haijafika Eneo Lile
Baada ya Kufika Aliona Geti limerudishwa Tu Ikawa Rahis Kwake kuingia Bila kusumbua Wenyeji
Sky na Mary Ni Wapenz wa Muda Sàsa Walikutana Chuo Wote walisomea Udaktar Na Kumaliza Mwaka Mmoja Uliopita sàsa Wakiw na Mwaka Mmoja Tu tangu waajiliwe Sky Siku ya Leo aliamua Kumsuprs marry KWA Kumvisha Pete ya Uchumba Na Amuombe Kumuoa Aliamua Kwenda Bila Hata Kumpa Taarifa
Baada Ya Kusukuma Geti Sky Alichokiona Kwanza Hakuyaamin Macho yake Ilikua Gafla Sana Hata Marry alishtuka Ni Baada Ya Kumkuta Akiwa na Baba Mtu mzima Wamepakatana Huku wakipeana Mabusu ya Maana Sky Ikabidi asogee Karibu Kuhakiki anacho kiona "Marry What's Doing??(Marry Unafanya Nini)"
"Ndo Nini Sàsa Kuingia KWA Watu bila Hata Hodi" aliuliza Huku akionesha Kuchukizwa sana Na Kile Kitendo "Afadhar Umekuja Muda Muafaka Huyu ndio mume wangu mtarajiwa" Marry aliendelea Kumpa Habar Sky kana Kwamba Sio Mpenz Wake "Marry Mbona skuelew " "Ambacho huelewi Nini Sky Mimi nawew Ilikua Enzi zile Za Utoto now KILA Mtu ajitafute Hayaa Unaweza Kwenda mimi nawew Tumeshamaliza" Sky alishuka Chini Na Magoti Na Kushika Miguu ya Marry Akilia na Kuomba msamaha "Marry Kama Kuna Sehem Nmeteleza Mpnz Wangu Naomba 🙏🙏 Unisamehe Kumbuka Tulipo Toka😭Ona Mwenzio Nmekuja Kukuvesha Pete hiii Tafadhali Naomba Upokee Uchumba Wangu Marry Siezi Mie Bila Wewe Marry Plzz My Girl"🙏🙏 "Oya Dogo kwani Husikiii Mwanamke hakutak I Mwanaume unalia Lia Vipi Embu Nenda Usituharibie Ck Aiseee" Hayo yalikua Maneno ya Sponsor wa marry ambae Alikua Kimyaa Muda Mwingi Lkn Sky Ndo kama Alikua Katiwa Msumali Upyaa Alizidi Kuomba Na Kulia Hapo Ikabidi Mwanaume wa Marry amakokote Mpk Nje ya Geti Na Kumsukuma Nje Sky hakujari alilia Na Kuomba Sana Msamaha kama Yeye ndo kafumaniwa Marry alimfata na kuanza Kumtokomeza Maneno Bila Kujali
Wakati Yote Yakiendelea Hapo Nje Kuna Dada Alikua Pembeni akiangalia Iyo Drama Nzima Alimuonea Huruma Sana Sky Pale Chini Mwisho Marry Alifunga Geti na Kurudi Ndani Lkn Sky Hata nguvu za kuinuka Hakua Nazo Akiwa Kainama Anajilila Akahisi Kashikwa Mkono Akainua Uso na Kukutana Uso na Mwanadada Akiwa anatabasam☺️
ITAENDELEA...............BONYEZA HAPA KUPATA SEHEMU INAYO FUATA
Leave a Comment