UCHUNGU WA MAMA WAKAMBO (SHOT STORY)


 Nimeikuta sehemu

Jamani wanawake tusiwe na roho ngumu mweee!!!!😭😭👇👇👇
😭😭SIMULIZI YA KWELI YENYE KUTOA MACHOZI😭😭
ALIKUWA AKINIWEKEA PILI PILI KWENYE UKE WANGU
Niliachwa na mama yangu nikiwa na umri wa miezi saba (miezi 7) R.I.P MAMA YANGU😭😭, na kuanza kuishi na baba na mama wa kambo, baada ya kifo cha mama, BABA yangu akashikwa kiroho na kimwili, na kunitelekeza, na kunisahau kabisa, na hapo ndipo kilio kilipoanzia,
Kwani Mama yangu wa kambo alikuwa na roho mbaya sana ila nilimvumilia ,😭na kuvumilia mateso yake pia, na unyanyasaji wa kila aina aliyokuwa akinifanyia.
Wakati mwingine nilikuwa na njaa na chakula kipo ila mama wa kambo akawa wakuninyima chakula siku nzima, akitengemea kwamba ntakufa kwa njaa😭,
Kuna pindi kimoja, nilikuwa na njaa sana, kiasi kwamba ilinibidi niwe nashiriki chakula cha mabaki ya mbwa😲 wetu😭😭
Mmoja wa jirani yetu alikuja asubuhi na mapema kwetu, na kama ada huwa nakuwa wakwanza kudamka na kwenda kwenye banda la mbwa 🐕 ijapo kama ntapata chochote kitu, alinikuta nikila chakula kilichobaki cha mbwa 🐕😲😭 (JAMANI WEWE) alianza kwa kusema hivyo, kwa mshangao, na akatoka mbio na akaenda kumwambia mama yake ambaye baadaye jioni hiyo alinialika nyumbani kwake na kuniuliza ikiwa anachosema mwanawe ni kweli?
Niliogopa sana, kumwambia maana naelewa farangati la mama wa kambo😭😭, kisha nikamsihi na kumwomba kwamba asimwambie mama yangu wa kambo, kwa sababu ataniua ikiwa atajua kuwa nimekula chakula cha mbwa badala ya kwenda kumwaga 😭😲.
Mwanamke huyo alilia na kuahidi kunipatia chakula kila siku bila mama yangu wa kambo,kujua.
LAKINI HAIKUISHIA HAPO TU, baada ya kuona njaa haikuwa adhabu ya kutosha kwangu, kipigo cha mbwa mwizi ilianza mama yangu wa kambo alinipiga bila huruma hadi nilipungua, ( NILIKONDA SANA) wakati mwingine, Alikuwa pia akinipaka pilipili kwenye uke wangu😭, macho, 😲mguu na shingo, akanifunga na kuniacha katika moja ya vyoo kwa siku bila chakula.😭😲
Pamoja na udhaifu huu wote, nilikuwa mkali sana kitaaluma na nilipendwa na kupendwa na Mungu na watu.
Nilijua kuwa njia pekee ya kutoroka ilikuwa kupata mafanikio ya kielimu na nilifanya!hvyo sasa hivi mimi ni wakili.
Hongera
kwa Wote wanaomtegemea MUNGU kwa neema ya ajabu, wapokee kwa jina la MWENYEZIMUNGU, amina!
Shiriki hadithi hii YA KWELI IKAWE FARAJA KWA MTU,.

No comments

Powered by Blogger.